Search the Web
Tulonge Jmani

Talk of the day

MACHAFUKO YA KENYA

14 January 2008

Hi fellow Tanzanians and East  Africans, nawakaribisha wana- Africa mashariki kutoa maoni mbali mbali kuhusu uchaguzi wa kenya na machafuko ya kisiasa yanayoendelea huko Kenya, Ni wananchi wasio na hatia, watoto, kina mama na wazee wanaotaabika katika kugombea madaraka.

lakini ni nini chanzo , na suluhu je?

tafadhali tunaomba maoni yako.......

Director

Mindu IT Solutions Ltd.


Posted at: 04:47 PM | 4 Comments | Add Comment | Permalink

Posts by Date

Recent Posts

Archives